Ads 468x60px

Labels

Tags

Nature

Comments

Custom Widget

Main Slider

Recent in Sports

Recent

Friday 24 October 2014

REICHET FOUNDATION INATOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI, LENGO MAHSUSI KATIKA MKAKATI HUU NI KUWAWEZESHA VIJANA ILI WAWEZE KUSHIRIKI MIJADALA,KUCHANGIA MAONI NA KUWAONGEZEA UWEZO WA KUAMUA WAO DHIDI YA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI.

HAWA NI WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE ILIYOKO KATIKA WILAYA MSALALA MKOANI SHINYANGA, WALIPOTEMBELEWA NA MAAFISA KUTOKA REICHET FOUNDATION. WANAFUNZI WA DARASA LA SITA WAKIFURAHIA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA REICHET FOUNDATION.
WANAFUNZI WA DARASA LA TANO KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE A WAKIWA NA
AFISA MRADI WA REICHET FOUNDATION MR. JOVITH NOVATH BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA LA SITA KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE A, WAKATI WA KIPINDI CHA ELIMU YA AFYA NA UKIMWI KINACHOTOLEWA NA


 ASASI YA REICHET FOUNDATION. PICHA NA JOVITH NOVATH
WALIMU WA WASHULE HIYO NA WANAFUNZU KWA UJUMLA, WALIISHUKURU TAASISI YA REICHET KWA KUONESHA UZALENDO WA KUTOA MAFUNZO YA ELIMU YA AFYA NA UKIMWI BILA MALIPO. HAKIKA REICHET FOUNDATION ITATIMIZA NDOTO ZA MH.RAIS JAKAYA KIKWETE KWAMBA TANZANIA BILA MAAMBUKIZI YA VVU INAWEZEKANA. REICHET FOUNDATION INATOA MAFUNZO YA VVU NA UKIMWI KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

No comments:

 

Total Pageviews

Blog Archive