Ads 468x60px

Labels

Tags

Nature

Comments

Custom Widget

Main Slider

Recent in Sports

Recent

Monday 26 January 2015

Vijana hawa wana ndoto na malengo kwa ajili ya maisha yao ya baadaye, Lakini wasipojifunza vyema elimu ya afya ya uzazi na ujinsia malengo yao hayatatimia.

 Asasi ya REICHET Foundation inaendelea kutoa mafunzo ya Elimu ya Afya ya Uzazi na Ujinsia 
kwa shule za msingi. Katika picha kushoto ni mwezeshaji kutoka Asasi ya REICHET ndg Jovith Novat na wanafunzi wa shule ya msingi Mwendakulima iliyoko Wilayani Kahama

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mwendakulima wakiuliza maswali kuhusu UKIMWI na VVU. Picha na Donatha Romward.

No comments:

 

Total Pageviews

Blog Archive