Mada zinazofundishwa mashuleni na Shirika la REICHET Foundation ni pamoja na:
- Changamoto kuu za vijana
- Muundo wa mwili wa binadamu
- Mfumo wa uzazi
- Balehe
- Matatizo ya mfumo wa uzazi
- Matatizo yenye uhusiano na jinsia
- HIV na UKIMWI
- Vishawishi vya ngono
- Mchango wa wazazi katika kuzuia ngono
- Stadi za maisha kwa vijana
- Namna ya kusoma na kujisomea
Wanafunzi wa darasa la sita wakiuliza maswali kuhusu afya uzazi. Picha na jovith Novath -REICHET Foundation.
Wanafunzi wa shule ya msingi Nyasubi wafurahia uwepo wa shirika la REICHET Foundation,wakitoa maoni yao kuhusu walivyo faidika na mafunzo hayo. |
Mara kwa mara wanafunzi huhitaji kujuwa mengi zaidi kuhusu Elimu ya afya ya uzazi na Ukimwi - picha na Jovith Novath kutoka REICHET Foundation |
Wanafunzi wakijaribu kujadili wenyewe kuhusu changamoto wanazokutana nazo. Picha na Jovith Novath kutoka REICHET Foundation
Mijadala ya mara kwa mara kwa vijana kuhusu changamoto zinazowakabili huwasaidia kuepukana na tabia zisizofaa. Shirika linaendesha mijadala hiyo katika shule za msingi.
Mazingira ya shule ya msingi Nyasubi- picha na Charles Nyanda kutoka REICHET Foundation.
Wanafunzi wakiwa katika kipindi cha VVU na UKIMWI.
Vijana hawa wanakutana na changamoto nyingi ikiwemo Vishawishi, Mabadiliko ya miili yao n.k lakini hukosa msaada. Picha na Charles Nyanda -REICHET FOUNDATION.Mbele ni Mwezeshaji kutoka Asasi ya REICHET Foundation akifundisha VVU ns UKIMWI -Picha na Charles Nyanda - REICHET FOUNDATION
No comments:
Post a Comment