HAWA NI WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE ILIYOKO KATIKA WILAYA MSALALA MKOANI SHINYANGA, WALIPOTEMBELEWA NA MAAFISA KUTOKA REICHET FOUNDATION.
WANAFUNZI WA DARASA LA SITA WAKIFURAHIA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA REICHET FOUNDATION.
WANAFUNZI WA DARASA LA TANO KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE A WAKIWA NA
AFISA MRADI WA REICHET FOUNDATION MR. JOVITH NOVATH
BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA LA SITA KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE A, WAKATI WA KIPINDI CHA ELIMU YA AFYA NA UKIMWI KINACHOTOLEWA NA
Friday 24 October 2014
Thursday 23 October 2014
REICHET FOUNDATION INATEKELEZA SHUGHULI ZA ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KAMA KAMA ILIVYOPANGIWA NA KITENGO CHA UKIMWI - ALMASHAURI YA USHETU
REICHET FOUNDATION INAENDELEA NA PROGRAMU YA KUFUNDISHA ELIMU YA AFYA YA UZAZI,VVU NA UKIMWI KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI.
Friday 5 September 2014
WANACHAMA WAANZILISHI WA Kahama Education Network/Mtandao wa Elimu Kahama [KEN/MEK]
Flavian Lihwa, Team Leader-CARE International, Ofisi ya Kahama akitoa utangulizi juu ya dhana ya Utetezi na Ushawishi dhidi ya vikwazo vinavyomkabili mtoto wa kike katika Elimu
Anthony Luis, Leonard Masele, Mourine na Gerald Ng'ong'a wakifuatilia majadiliano wakati wa Kikao
Deogratias Machimu, Juma Mwesigwa, Clement Masonga na Dickson Maganga wakati wa kikao siku ya Pili
Leonard Masele, Flavian Lihwa, Clement Masonga na Deogratias Machimu wakiwa katika Kikundi wakijadiliana juu ya HADIDU ZA REJEA kufuatia maandalizi ya kutoa Miongozo ya Kumlinda Msichana wakati na Baada ya Kujifungua akiwa anasoma shule
Kikundi cha Pili, majadiliano yanaendelea
Katika Picha:- Wajumbe waanzilishi wa Kahama Education Network [KEN]/Mtandao wa Elimu Kahama [MEK]. Mashirika Wanachama waanzilishi ni REICHET Foundation, CARE International in Tanzania, Kahama Office, HUHESO Foundation, MUVUMA, KACODA, SHIUUUKA, Kahama Gender Coalition Network, RAFIKI SDO. Lengo kuu la Mtandao ni kutoa ushawishi na utetezi dhidi ya vikwazo anavyopata mtoto wa Kike akiwa anasoma shule.
Wajumbe wakibadilishana mawazo baada ya kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi za CARE Inernational, Kahama.
Monday 1 September 2014
MAANDALIZI YA KUFUNDISHA ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI ( KWA UFADHILI WA HALAMASHAURI YA USHETU, Idara ya UKIMWI) BAADHI YA WANAFUNZI WAKIONEKANA WALIPOTEMBELEWA NA Leonard Masele, Meneja wa Programu, REICHET Foundation,
BAADHI YA WANAFUNZI (WAVULANA) WA LUSHELO SHULE YA MSINGI WAKICHEZA MPIRA KATIKA UWANJA WAO WA MICHEZO WALIPOTEMBELEWA NA Leonard Masele, Meneja kutoka REICHET Foundation.
WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA, WANAFUNZI S/M LUSHELO BAADA YA MICHEZO.BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IGUNDA WAKIJIANDAA KUPATA UJI(Mikononi-wameshikilia vikombe vyao), Mradi huu unawezeshwa na Wazazi wao.
Baadhi ya wanafunzi(wasichana) wakicheza wakati wa mapumziko
Wednesday 27 August 2014
TIMU YA AMBASSADOR FC IKIWA UWANJANI NA KIKOSI CHA POLISI KATIKA UWANJA WA HALMASHAURI, KAHAMA
Baadhi ya watazamaji wakifuatilia michezo katika uwanja wa Halmashauri-Kahama
wachezaji kutoka timu ya AMBASSADOR WAKIJIANDAA[chini/juu]
wakati wa mapumziko
wachezaji wakipata Mawaidha, kabla ya kuanza mechi
Baadhi ya viongozi wakishauriana kabla ya kuanza michezo[chini]
mgeni rasmi akikagua wachezaji
mgeni rasmi akikagua wachezaji
Wachezaji wakipimana nguvu uwanjani[ chini]
Saturday 2 August 2014
WAJUMBE WAKIWA KWENYE Majadiliano wakati wa MAFUNZO YA WARATIBU WA WILAYA [DISTRICT PILOT] TAREHE 31 JULAI HADI 02 AGOSTI, 2014 KWENYE UKUMBI WA B-Z MOROGORO. MAFUNZO HAYO YANATOLEWA NA TWAWEZA-AFRIKA MASHARIKI KUPITIA PROGRAMU YA 'UWEZO' NI SEHEMU YA MAANDALIZI YA KUFANYA UTAFITI KWA WATOTO WENYE UMRI WA MIAKA 7-16 KUPIMA UWEZO WAO WA KUSOMA, KUANDIKA NA HISABATI. Programu hiyo itafanyika Kahama, Mratibu wa WILAYA katika Programu hiyo ni LEONARD MASELE kupitia NGO ya HUHESO Foundation, Tanzania
Wajumbe wakiwa katika majadiliano
Ibrahim Shora [mmoja wa washiriki] kutoka Mwanza akitambulishwa na Helen [mwenye Maiki]
Getsaida Kikoti akimtambulisha Nasra Suleiman wakati wa Mafunzo-Ukumbini, siku ya Kwanza
Mwenye Maiki [Furaha] wakichangia hoja
Mkurugenzi Mkuu TWAWEZA-Tanzania akitoa utambulisho juu ya dhana ya UWEZO
Mwenye Maiki[ Daniel] kutoka Nairobi, Kenya akijitambulisha kwa washiriki, Mwanamke katika Picha ni Ms Jonatha Ngisa kutoka Mwanza, na mwingine ni Patrick Natsia kutoka Uganda [Mwezeshaji mkuu]
Wajumbe wa Mafunzo wakiwa katika Picha-Siku ya kwanza
Wajumbe wakiwa katika Picha
Majadiliano yakiendelea
Kazi katika Vikundi
Kundi la Kwanza
Wajumbe wakijadili jinsi ya kukusanya Takwimu katika Kaya
Wajumbe wakijadili jinsi ya Kudodoso katika SERIKALI YA MTAA/KIJIJI
Marekebisho yakifanyika juu ya KUPIMA WATOTO
Leonard Masele [katikati] akiwa katika Majadiliano wakati wa Mafunzo
Subscribe to:
Posts (Atom)