Ads 468x60px

Labels

Tags

Nature

Comments

Custom Widget

Main Slider

Recent in Sports

Recent

Monday 2 February 2015

FAHAMU MADHARA YA UTAPIAMLO KWA WATOTO.



      Utapiamlo ni ugonjwa unaoathiri kukua kwa mwili na akili ya mtoto. Idadi ya watoto wanaopata ugonjwa huo hapa nchini inakadiriwa kuwa asilimia 42 huku ikiwa inahofiwa kuongezeka ambapo mara nyingi huwapata watoto wenye umri chini ya miaka 18. 

Kwa nini ni vigumu sana kushinda tatizo hilo? Ili kupata jibu, ni vyema kuujuwa kwanza ugonjwa wa utapiamlo, na kuchunguza athari na visababishi vilivyotia mizizi vya ugonjwa huo.

UTAPIAMLO HUSABABISHWA NA NINI?
Utapiamlo husababishwa na ukosefu wa vitamini na madini ya kutosha katika chembe za mwili, na kwa kawaida husababishwa na mambo mawili:

 

Total Pageviews

Blog Archive