Ads 468x60px

Labels

Tags

Nature

Comments

Custom Widget

Main Slider

Recent in Sports

Recent

Friday 5 September 2014

WANACHAMA WAANZILISHI WA Kahama Education Network/Mtandao wa Elimu Kahama [KEN/MEK]



 Flavian Lihwa, Team Leader-CARE International, Ofisi ya Kahama akitoa utangulizi juu ya dhana ya Utetezi na Ushawishi dhidi ya vikwazo vinavyomkabili mtoto wa kike katika Elimu
 Anthony Luis, Leonard Masele, Mourine na Gerald Ng'ong'a wakifuatilia majadiliano wakati wa Kikao
 Deogratias Machimu, Juma Mwesigwa, Clement Masonga na Dickson Maganga wakati wa kikao siku ya Pili


 Leonard Masele, Flavian Lihwa, Clement Masonga na Deogratias Machimu wakiwa katika Kikundi wakijadiliana juu ya HADIDU ZA REJEA kufuatia maandalizi ya kutoa Miongozo ya Kumlinda Msichana wakati na Baada ya Kujifungua akiwa anasoma shule
 Kikundi cha Pili, majadiliano yanaendelea
Katika Picha:- Wajumbe waanzilishi wa Kahama Education Network [KEN]/Mtandao wa Elimu Kahama [MEK]. Mashirika Wanachama waanzilishi ni REICHET Foundation, CARE International in Tanzania, Kahama Office, HUHESO Foundation, MUVUMA, KACODA, SHIUUUKA, Kahama Gender Coalition Network, RAFIKI SDO. Lengo kuu la Mtandao ni kutoa ushawishi na utetezi dhidi ya vikwazo anavyopata mtoto wa Kike akiwa anasoma shule.


Wajumbe wakibadilishana mawazo baada ya kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi za CARE Inernational, Kahama.

Monday 1 September 2014

MAANDALIZI YA KUFUNDISHA ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI ( KWA UFADHILI WA HALAMASHAURI YA USHETU, Idara ya UKIMWI) BAADHI YA WANAFUNZI WAKIONEKANA WALIPOTEMBELEWA NA Leonard Masele, Meneja wa Programu, REICHET Foundation,

 BAADHI YA WANAFUNZI (WAVULANA) WA LUSHELO SHULE YA MSINGI WAKICHEZA MPIRA KATIKA UWANJA WAO WA MICHEZO WALIPOTEMBELEWA NA Leonard Masele, Meneja kutoka REICHET Foundation.
 WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA, WANAFUNZI S/M LUSHELO BAADA YA MICHEZO.
 BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IGUNDA WAKIJIANDAA KUPATA UJI(Mikononi-wameshikilia vikombe vyao), Mradi huu unawezeshwa na Wazazi wao. 
 Baadhi ya wanafunzi(wasichana) wakicheza wakati wa mapumziko



 

Total Pageviews

Blog Archive