Ads 468x60px

Labels

Tags

Nature

Comments

Custom Widget

Main Slider

Recent in Sports

Recent

Friday 24 October 2014

REICHET FOUNDATION INATOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI, LENGO MAHSUSI KATIKA MKAKATI HUU NI KUWAWEZESHA VIJANA ILI WAWEZE KUSHIRIKI MIJADALA,KUCHANGIA MAONI NA KUWAONGEZEA UWEZO WA KUAMUA WAO DHIDI YA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI.

HAWA NI WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE ILIYOKO KATIKA WILAYA MSALALA MKOANI SHINYANGA, WALIPOTEMBELEWA NA MAAFISA KUTOKA REICHET FOUNDATION. WANAFUNZI WA DARASA LA SITA WAKIFURAHIA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA REICHET FOUNDATION.
WANAFUNZI WA DARASA LA TANO KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE A WAKIWA NA
AFISA MRADI WA REICHET FOUNDATION MR. JOVITH NOVATH BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA LA SITA KATIKA SHULE YA MSINGI BULIGE A, WAKATI WA KIPINDI CHA ELIMU YA AFYA NA UKIMWI KINACHOTOLEWA NA

Thursday 23 October 2014

WANAFUNZI WA DARASA LA SITA KATIKA SHULE YA MSINGI IGUNDA WAKIFURAHIA MAFUNZO KUTOKA ASASI YA REICHET FOUNDATION

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IGUNDA WAKIFURAHIA MAFUNZO WALIYOYAPATA KUTOKA REICHET FOUNDATION

REICHET FOUNDATION INATEKELEZA SHUGHULI ZA ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KAMA KAMA ILIVYOPANGIWA NA KITENGO CHA UKIMWI - ALMASHAURI YA USHETU

WANAFUNZI WA DARASA LA SITA KATIKA SHULE YA MSINGI IGUNDA WAKIJIFUNZA ELIMU YA VVU NA UKIMWI NA JINSI YA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI MAPYA. WAKIWA NA PROGRAMU AFFICER JOVITH NOVATH KUTOKA REICHET FOUNDATION

REICHET FOUNDATION INAENDELEA NA PROGRAMU YA KUFUNDISHA ELIMU YA AFYA YA UZAZI,VVU NA UKIMWI KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI.

WANAFUNZI WA DARASA LA TANO, SHULE YA MSINGI IGUNDA WAKIWA KATIKA KIPINDI CHA ELIMU YA AFYA YA UZAZI,VVU NA UKIMWI WALIPOTEMBELEWA NA MUELIMISHAJI KUTOKA REICHET FOUNDATION. KUSHOTO NI DONATHA ROMWARD (AFISA MRADI REICHET FOUNDATION) KULIA NI MWALIMU WA SHULE HIYO.
 

Total Pageviews

Blog Archive