Mada zinazofundishwa mashuleni na Shirika la REICHET Foundation ni pamoja na:
- Changamoto kuu za vijana
- Muundo wa mwili wa binadamu
- Mfumo wa uzazi
- Balehe
- Matatizo ya mfumo wa uzazi
- Matatizo yenye uhusiano na jinsia
- HIV na UKIMWI
- Vishawishi vya ngono
- Mchango wa wazazi katika kuzuia ngono
- Stadi za maisha kwa vijana
- Namna ya kusoma na kujisomea
Pamoja na changamoto zinawakabili vijana hawa, lakini wanaonekana kuwa na shauku ya kujifunza, ni wanafunzi wa shule |