Ads 468x60px

Labels

Tags

Nature

Comments

Custom Widget

Main Slider

Recent in Sports

Recent

Saturday 2 August 2014

WAJUMBE WAKIWA KWENYE Majadiliano wakati wa MAFUNZO YA WARATIBU WA WILAYA [DISTRICT PILOT] TAREHE 31 JULAI HADI 02 AGOSTI, 2014 KWENYE UKUMBI WA B-Z MOROGORO. MAFUNZO HAYO YANATOLEWA NA TWAWEZA-AFRIKA MASHARIKI KUPITIA PROGRAMU YA 'UWEZO' NI SEHEMU YA MAANDALIZI YA KUFANYA UTAFITI KWA WATOTO WENYE UMRI WA MIAKA 7-16 KUPIMA UWEZO WAO WA KUSOMA, KUANDIKA NA HISABATI. Programu hiyo itafanyika Kahama, Mratibu wa WILAYA katika Programu hiyo ni LEONARD MASELE kupitia NGO ya HUHESO Foundation, Tanzania

 Wajumbe wakiwa katika majadiliano
 Ibrahim Shora [mmoja wa washiriki] kutoka Mwanza akitambulishwa na Helen [mwenye Maiki]
 Getsaida Kikoti akimtambulisha Nasra Suleiman wakati wa Mafunzo-Ukumbini, siku ya Kwanza
 Mwenye Maiki [Furaha] wakichangia hoja
 Mkurugenzi Mkuu TWAWEZA-Tanzania akitoa utambulisho juu ya dhana ya UWEZO
 Mwenye Maiki[ Daniel] kutoka Nairobi, Kenya akijitambulisha kwa washiriki, Mwanamke katika Picha ni Ms Jonatha Ngisa kutoka Mwanza, na mwingine ni Patrick Natsia kutoka Uganda [Mwezeshaji mkuu]
 Wajumbe wa Mafunzo wakiwa katika Picha-Siku ya kwanza
 Wajumbe wakiwa katika Picha
 Majadiliano yakiendelea
 Kazi katika Vikundi
 Kundi la Kwanza
 Wajumbe wakijadili jinsi ya kukusanya Takwimu katika Kaya
 Wajumbe wakijadili jinsi ya Kudodoso katika SERIKALI YA MTAA/KIJIJI
 Marekebisho yakifanyika juu ya KUPIMA WATOTO

Leonard Masele [katikati] akiwa katika Majadiliano wakati wa Mafunzo

No comments:

 

Total Pageviews

Blog Archive